MATUMAINI MAPYA - HAITI
MATUMAINI MAPYA -HAITI
Pichani ni Wapostulanti muda mfupi baada ya kufika kwetu kutoka Haiti.
Hawa sasa ni Wanovisi wa Mwaka wa kwanza Ulete.Ni masista Wateresina watarajiwa wa visiwa vya Haiti.Wanashirika Wamisionari wa Mt.Teresia wa Mtoto Yesu tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa maweza yake ya ajabu kupitia kwa Mwanzilishi wa Shirika Monsinyori Francesco Cagliero
Tuendelee kuwaombea wafikie lengo.