Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya miito katika shirika letu.
Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya miito katika shirika letu.
Tarehe 06 Desemba kila mwaka shirika huwapokea Wasichana wanaojiunga nasi.
Katika picha ni wasichana 33 walioingia katika shirika tayari kuanza hatua za malezi wakitarajia kuwa
Watawa Wateresina.