UZINDUZI WA JUBILEI YA MIAKA 50 NOVISIATI-ULETE
Pichani ni Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa,Mapadre, watawa wa kiume na wa kike pamoja na wakristo baada ya adhimisho la misa Takatifu iliyofanyika tar. 4 Aprili 2018.
UMOJA WETU.
Mhashamu Askofu wa Jimbo la Iringa,Viongozi wa Shirika,watawa pamoja na waamini nje ya kanisa baada ya adhimisho la Misa Takatifu.
KANISANI KATIKA PAROKIA YA ULETE
Ni alama ya kwamba wateresina baada ya malezi ya novisiati tunatumwa tukawe mwanga kwa Mataifa.
MAANDAMANO
Kutoka katika nyumba ya Novisiati kuelekea Kanisani kwa Adhimisho la Misa Takatifu.
MSHUMAA WA JUBILEI.
Pichani ni Askofu T.Ngalalekumtwa akiwasha mshumaa wa Jubilei. Na kando yako ni Mama Mkuu wa Shirika pamoja na Makamu wa Askofu Mheshimiwa Pd Vicent Mwagala.
UJUMBE WA MWAKA WA JUBILEI
Mbele ni viongozi wa Shirika,Katika ni Mama Makamu akishika kichokoo chenye ujumbe huo.
SEMINA YA WANOVISI WA MASHIRIKA
Ilifanyika kuanzia tarehe 9-14 Aprili 2018 ikihusisha Wanovisi wote wa Kanda ya Kusini Magharibi mwa Tanzania. Mahali ni Tosamaganga kama wanavyoonekana katika picha.
Pichani mbele ni Baba mhudumu wa semina Pd George IMC Paroko wa Parokia ya Sadani, Mama Mkuu CST Pamoja na walezi wa Wanovisi.
MWANGWI WA UMISIONARI CST. 2019
Tarehe 21. Januari. 2019. Wamefunga Nadhiri za kwanza Masista 33. Ni tukio la pekee la historia katika shirika letu.Tunawaombea waweze kuwa imara na wadumu katika wito wao, Wamtangaze Kristo bila woga, Yesu Kristo akiwa kiongozi wao popote popote watakapotumwa.
SECOND NEW HOPE
On 6th April we received another two Novices from Haiti.We thank God for the kindness.Thus we pray for them to reach their goal.
Crear Pagina Web

Visitors Counter

022056
Today
Yesterday
This Week
Last Week
This Month
Last Month
All days
60
61
255
21249
1554
1378
22056

PRAYERS

Our Father

Our Father, Who art in Heaven, hallowed be Thy name; Thy Kingdom come, Thy will be done on earth as it is in Heaven. Give us this day our daily bread; and forgive us our trespasses as we forgive those who trespass against us; and lead us not into temptation, but deliver us from evil. Amen.

Prayer for a Sick Person

Almighty and Eternal God, You are the everlasting health of those who believe in You. Hear us for Your sick servant (N...) for whom we implore the aid of Your tender mercy, that being restored to bodily health, he (she) may give thanks to You in Your Church. Through Christ our Lord.

Hail Mary

Hail Mary, full of grace. Our Lord is with you. Blessed are you among women, and blessed is the fruit of your womb,Jesus. Holy Mary, Mother of God, pray for us sinners, now and at the hour of our death. Amen.

Login Form